HALAAND KUKOSA MECHI YA KESHO
Huenda mshambuliaji wa timu ya taifa ya Norway Erling Braut Halaand akakosekana katika mchuano wa ligi kuu ya Uingereza kesho dhidi ya klabu ya Liverpool. mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola amesema kwamba mchezaji huyo bado anaugulia jeraha ambalo alilipata hata kabla ya likizo ya mechi ya ligi, kuelekea kwa mashindano ya kutafuta tikiti ya […]
HALAAND KUKOSA MECHI YA KESHO Read More »



