HAKUNA SHERIA ZA KUHUKUMU WASHTAKIWA VILIVYO – MWENDWA
Ukosefu wa sheria madhubuti za kushtaki wapangaji wa matokeo ndio jambo kubwa linalo athiri soka la Kenya kwa sasa. Ni kauli ya Nick Mwendwa ambaye amerejea madarakani mwa urais wa FKF baada ya kuwepo nje kwa muda akishughulikia kesi za uporaji wa hela za michezo. Ameyazungumza hayo alipokutana na kamati ya bunge inayosimamia michezo na […]
HAKUNA SHERIA ZA KUHUKUMU WASHTAKIWA VILIVYO – MWENDWA Read More »



