MAUMIVU YALINIPONZA – KIPCHOGE
Mwana riadha nguli wa Kenya, Eliud Kipchoge, amesema kwamba kuwepo kwa maumivu katika mguu wake kati kati mwa mbio za Boston Marathon ndio jambo lililomponza na kumaliza nafasi ya sita siku ya Jumatatu. Katika mbio hizo ambazo Evans Chebet alimshinda na kumaliza nafasi ya kwanza, Kipchoge anasema kwamba katika kilomita ya 30 alianza kuhisi maumivu […]
MAUMIVU YALINIPONZA – KIPCHOGE Read More »



