Paps Mkare

CHELSEA WAMEACHANA NA UEFA RASMI, AC MILAN IKIITOA NAPOLI

Klabu ya Chelsea sasa imeagana rasmi na mashindano ya klabu bingwa ulaya baada ya kukubali kichapo cha raundi ya pili dhidi ya Real Madrid darajani Stamford Bridge usiku wa kuamkia leo. The Blues wametandikwa mabao 2-0 na mabao ya kinda wa Brazil Rodrigo ndio mabao yaliyotosha kuipeleka Real Madrid ya mkufunzi Carlo Ancelotti katika hatua

CHELSEA WAMEACHANA NA UEFA RASMI, AC MILAN IKIITOA NAPOLI Read More »