SOKA LA KILIFI LARINDIMA WIKENDI
Klabu ya Majenjeni Elite inayoongozwa na mkufunzi Emmanuel Kazungu jana ilizidi kujimarisha uongozi wake katika ligi ya eneo bunge la magarini katika chungu B baada ya kusajili ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kapupuni FC. Kufikia sasa Majenjeni Elite wanaongoza ligi wakiwa na alama 25 baada ya kucheza mechi tisamatokeo mengine ya chungu hicho ni […]
SOKA LA KILIFI LARINDIMA WIKENDI Read More »



