MALINDI PROGRESSIVE YAKAUKIWA NA USHINDI MECHI NNE MFULULIZO
Klabu ya Rainbow FC kutoka kaunti ya Nairobi imesajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Malindi Progrrssve katika uwanja wa Alaskan mechi ambayo imetamatika muda mfupi uliopita. Akizungumza baada ya mechi hiyo mkufunzi wa Rainbow fc Fred Mwaile amesema kwamba amefurahishwa na matokeo ya mechi hiyo ugenini licha ya mchezaji wake mmoja kupigwa kadi nyekundu […]
MALINDI PROGRESSIVE YAKAUKIWA NA USHINDI MECHI NNE MFULULIZO Read More »



