Paps Mkare

KENYA YAZIDI KUMEZEA MATE MAANDALIZI YA AFCON 2027

Mataifa matatu jirani (Rwanda, Tanzania na Kenya) yanayounda Jumuiya ya Afrika Mashariki yameanza mchakato wa kuomba kuandaa kwa pamoja mashindano ya Kombe la  AFCON mwaka 2027. Taarifa ya kuanza mchakato huo zimesemwa na Waziri wa Michezo wa Kenya Ababu Namwamba ambaye amesema wameshawasilisha maombi rasmi kwa pamoja huku kushindwa kwa taifa la Namibia na Botswana

KENYA YAZIDI KUMEZEA MATE MAANDALIZI YA AFCON 2027 Read More »