Paps Mkare

MKUFUNZI RIO ALALAMIKIA MAAMUZI MABAY YA REFA KWENYE KYISA

Mkufunzi wa soka Rio Ngumbao anayeongoza timu ya kaunti ya kilifi katika mashindano ya KYISA yanayoendelea katika kaunti ya Tharaka Nithi amelalamikia maamuzi mabaya ya marefa akisema kwamba hayo ndiyo yanasababisha mpaka kufukia sasa hawaja sajili ushindi hata mmoja. Rio akizungumza na Tama la Spoti kupitia njia ya simu anasema kwamba wachezaji wake wasiozidi umri […]

MKUFUNZI RIO ALALAMIKIA MAAMUZI MABAY YA REFA KWENYE KYISA Read More »

TOTTENHAM HOTSPURS YAFIDIA MASHABIKI BAADA YA KIPIGO CHA AIBU

Klabu ya Tottenham Hotspurs imeamua kufidia gharama ya tikiti kwa mashabiki wake baada ya tukio la jumapili ambapo Spers walipigwa kichapo cha aibu cha mabao 6-1 dhidi ya Newcastle United katika uwanja wa St James Park. Klabu hiyo imetoa taarifa kwamba imehuzunishwa na kipigo hicho ambacho ni chungu kwa mashabiki hivyo kuamua kuwarudishia hela wanunue

TOTTENHAM HOTSPURS YAFIDIA MASHABIKI BAADA YA KIPIGO CHA AIBU Read More »