SAWA HATUSHINDI LIGI LAKINI GOR TUTAWARAMBA JUMAPILI – PATRICK AUSSEMS
Mkufunzi wa klabu ya AFC Leopards mwite Patrick Aussems anasema kwamba msimu huu matumaini yao ya kushinda ubingwa wa ligi kuu ya fkf primia league yamepotea ila watajitahidi kuandikisha matokeo mazuri dhidi ya Gor Mahia wikendi hii. mechi hiyo ambayo ni daby ya mahasimu hawa wa jadi itachezwa siku ya Jumapili katika uwanja wa Nyayo […]
SAWA HATUSHINDI LIGI LAKINI GOR TUTAWARAMBA JUMAPILI – PATRICK AUSSEMS Read More »



