Paps Mkare

MANCHESTER CITY YASHINDA UBINGWA, KYLE WALKER AKITISHIA MASHETANI WEKUNDU

Klabu ya Manchester City ndio mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu 2022/2023 baada ya kusajili matokeo mazuri msimu huu. Licha ya kushinda 1-0 dhidi ya Chelsea katika mechi ya jana (Jumapili) Manchester City inayoongozwa na mkufunzi Pep Guardiola ilikuwa imetangazwa mabingwa baada ya washika mtutu wa London Arsenal kupoteza kwa Nottingham Forest 1-0. […]

MANCHESTER CITY YASHINDA UBINGWA, KYLE WALKER AKITISHIA MASHETANI WEKUNDU Read More »

HII NDIO NAFASI NZURI YA KUJIUZA KAMA MCHEZAJI – BENSON OMALA

Klabu ya GOR Mahia ambao ndio viongozi wa ligi kuu ya Fkf  nchini watakuwa wanavaana na AFC Leopards wikendi hii katika daby ya mashemeji hao wawili itakayopeperushwa moja kwa moja na televisheni ya kitanzania Azam TV kama makubaliano na shirikisho la soka hapa nchini. Benson Omala ambaye ni mshambuliaji anayetegemewa sana na klabu yake ya

HII NDIO NAFASI NZURI YA KUJIUZA KAMA MCHEZAJI – BENSON OMALA Read More »