MANDONGA KUREJEA NCHINI KENYA
Bondia wa Kenya Daniel Wanyonyi analenga kulipiza kisasi kwa bondia wa Tanzania Karim Mandonga wawili hao watakapokuwa wanashuka ulingoni tena kwezi Julai tarehe 22 mwaka huu. Kwa upande wake Mandonga amemuambia Wanyonyi kwamba analenga kuja na ngumi nyingine ya kigeni na kumtandika huku akizidi kujipiga kifua kwamba hakuna bondia wa Kenya anayeweza kumpiga Mandonga kutoka […]
MANDONGA KUREJEA NCHINI KENYA Read More »



