NYOTA WA WIKI YASSINE BOUNOU – SEVILLA
Mwanga wa Lulu Viwanjani wiki hii unamuangazia nyota ambaye mbali na kuleta tabasabu katika taifa lake Morocco ya kaskazini mwa Afrika, wiki hii aliingia katika rekodi ya wachezaji wenye mchango mkubwa katika mashindano makubwa ya Ulaya. Ni mchezaji ambaye amepewa sifa si haba na wakufunzi ambao washawahi kumfunza soka. Mchezaji huyu ni mchezaji wa […]
NYOTA WA WIKI YASSINE BOUNOU – SEVILLA Read More »



