Paps Mkare

HARAMBEE STARLETS KUKOSA OLIMPIKI

Timu ya taifa ya kinadada Harambe Starslets watakosa kushiriki mashindano ya soka ya olimpiki mwaka 2024 kutokana na marufuku ya fifa iliyochelewa kuondolewa mwaka jana. Kulingana na afisa wa mawasiliano wa shirikihso la soka la FKF Ken Okaka amethibitisha kwamba Harambe Starlets Kenye ilichelewa kujisajili kutokana na marufuku iliyokuwepo. Kenya pia ilitolewa katika orodha ya […]

HARAMBEE STARLETS KUKOSA OLIMPIKI Read More »

FIRAT ATANGAZA KIKOSI CHAKE CHA MASHINDANO YA MATAIFA MANNE

Mkufunzi wa timu ya taifa ya Harambe Stars Engin Firat ameweka wazi kikosi chake atakachotumia katika mashindano yajayo ya mataifa manne pekee yatakayoanza rasmi tarehe 11 hadi 18 mwezi Juni. Kikosi hicho cha wachezaji 30 kinachojumuisha wachezaji kutoka ligi ya Kenya na ligi za kigeni kitaanza rasmi mazoezi yake tarehe 5 mwezi ujao. Kikosi kilichotambuliwa

FIRAT ATANGAZA KIKOSI CHAKE CHA MASHINDANO YA MATAIFA MANNE Read More »