MPISHI WA KENYA AACHANA NA ARSENAL UINGEREZA
Mkenya Bernice Kariuki ambaye amekuwa mpishi katika kambi ya Emirates kwa klabu ya Arsenal tangia mwaka 2020 amethibitisha rasmi kuachana na klabu hiyo. Raia huyo wa taifa la Kenya mwenye umri wa miaka 51 ambaye alianza kama mpishi binafsi wa mshambuliaji wa zamani wa Arsenal ambaye sasa ni mali ya Chelsea Pieer Emerick Aubameyang amethibitisha […]
MPISHI WA KENYA AACHANA NA ARSENAL UINGEREZA Read More »



