Paps Mkare

MADHAIFU YA SHIMANZI FAIDA KWA DEEP SEA

Klabu ya Deep Sea  ambayo inaongozwa na mkufunzi Athman Pirezi kutoka kaunti Lamu wikendi hii imezawadiwa alama tatu baada ya klabu ya Shimanzi FC kukosa kuheshimu ratiba. Kulingana na chapisho katika ukurasa wa Facebook ya Shimanzi FC ni kwamba klabu hiyo ilikuwa imetuma ombi kwa shirikisho mechi hiyo iarirshwe lakini ombi lao likakataliwa. Shimanzi walishindwa […]

MADHAIFU YA SHIMANZI FAIDA KWA DEEP SEA Read More »