NI RASMI! NERO AMEONDOKA FURUNZI
Mkufunzi wa klabu ya Furunzi FC Nero Chishenga sasa amethibitisha kwa maneno yake mwenyewe kwamba ameachana na klabu hiyo inayocheza daraja la pili kitaifa. Kocha Nero mwenye umri wa miaka 30 ameachana na klabu hiyo baada ya kuingoza klabu hiyo kutoka ligi ya mkoa hadi daraja la pili kitaifa. ”Mimi sina shida na wachezaji, wale […]
NI RASMI! NERO AMEONDOKA FURUNZI Read More »



