Paps Mkare

ALEX MWALIMU KUENDELEA KUKOSA MECHI ZA YOUNG BULLS

Klabu ya Young Bulls itazidi kumkosa mshambulizi wake nguli Alex Mwalimu mzawa wa Matsangoni kaunti ya Kilifi kutokana na majeraha. Alex aliumia katika mechi ya Mudzini Derby dhidi ya Malindi Progressive ambapo walishinda kwa bao 1-0 mwezi mei. Kwa sasa Young Bulls itakuwa bila mshambuliaji huyo ambaye amewasaidia sana msimu huu katika kusajili matokeo mazuri. […]

ALEX MWALIMU KUENDELEA KUKOSA MECHI ZA YOUNG BULLS Read More »

NAELEKEA MAREKANI, SITAKI HELA ZA SAUDI ARABIA – LIONEL MESSI

Messi amekubali kuhamia marekani katika Major League Soccer kwenye klabu ya Inter Miami akimaliza tetesi za uhamisho kuelekea Saudi Arabia au kurejea klabu ya Barcelona nchini Uhispania. Messi raia wa Argentina ambaye atakuwa anafikisha miaka 36 mwezi ujao amekubaliana na uongozi wa klabu ya Inter Miami ambayo kwa asilimia kubwa inamilikiwa na David Beckham mchezaji

NAELEKEA MAREKANI, SITAKI HELA ZA SAUDI ARABIA – LIONEL MESSI Read More »