SANGO NI TIMU YA MASHABIKI
Klabu ya Sango Sportif katika ligi ya daraja la pili kitaifa inaandikisha matokeo mazuri msimu huu kutokana na ushabiki kindakindaki kutoka kwa mashabiki wao. Klabu hiyo ambayo ni klabu ya pekee kucheza ligi kubwa kutoka kaunti ya Tana River inasimama katika nafasi ya nane kwenye msimu wao wa kwanza katika ligi hiyo baada ya kupanda […]
SANGO NI TIMU YA MASHABIKI Read More »



