Paps Mkare

HAMTASHIRIKI MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA BILA WANAWAKE ZENU – CAF

Shirikisho la soka barani Afrika Caf limetangaza kwamba haitaruhusu klabu yoyote kushiriki katika mashindano ya shirikisho hilo bila kuwa na klabu ya kinadada inayoshiriki katika ligi inayotambulika katika taifa wanalotoka. Taarifa hiyo sasa inaiweka Gor Mahia lakini pia klabu ya Tusker roho juu pamoja na kuwa na tumbo joto kwani klabu  hizo kwa sasa ziko […]

HAMTASHIRIKI MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA BILA WANAWAKE ZENU – CAF Read More »

ABABU ABATILISHA UTEUZI WA KAMATI YA TALANTA HELA

Waziri wa michezo  Ababu Namwamba hii leo amebatilisha uteuzi wa kamati ya talanta hela aliyoichagua mwezi February kusaidia masuala ya michezo pamoja na talanta hapa nchini Kenya. Awali kamati hiyo iliyofaa kuhudumu kwa miezi mitatu katika kusaidia makuzi ya talanta pamoja na kuweka mazingira mazuri ya kuhakikisha kwamba wachezaji wa Kenya hawapitii changamoto zaidi hasa

ABABU ABATILISHA UTEUZI WA KAMATI YA TALANTA HELA Read More »