URUGUAY NDIO MABINGWA WA DUNIA KATIKA MASHINDANO YA U20
Timu ya taifa ya Uruguay ndio mabingwa katika mashindano ya kombe la dunia ya soka nchini Argentina. Uruguay wamesajili ubingwa huo baada ya kuilaza italia kwa kichapo cha bao 1-0, bao ambalo limefungwa na Luciano Rodriguez katika dakika ya 86. Kwengine ni kwamba timu ya taifa ya Israel jana walisajili ushindi wa mabao 3-1 dhidi […]
URUGUAY NDIO MABINGWA WA DUNIA KATIKA MASHINDANO YA U20 Read More »



