Paps Mkare

FAITH KIPYEGON APATA NYUMBA BAADA YA KUVUNJA REKODI

Rais wa Kenya William Samoei Ruto amempongeza mwanariadha Faith Kipyegon kwa kuandikisha rekodi ya kimataifa katika mbio za mita 1500 katika mashindano ya Florence Diamond League na baadaye kuvunga rekodi nyingine ya 5000 katika mashindano ya Paris Diamond League. ”Faith ni mkenya mwenye imani sana. Imani yake ilimfanya kushinda na kuandikisha rekodi za dunia. Nampongeza […]

FAITH KIPYEGON APATA NYUMBA BAADA YA KUVUNJA REKODI Read More »

MASHINDANO YA BODABODA KUFANYIKA MALINDI

Muungano wa wanabiashara wa bodaboda mjini Malindi kaunti ya Kilifi wanalenga kuandaa mashindano ya soka ya siku moja katika uwanja wa Alaskan mjini Malindi wikendi ijayo. Mashindano hayo ya siku moja yatakayofanyika siku ya Jumamosi yanalenga kuhamasisha wanaboda boda kuhusiana sheria za barabarani, usalama wao pamoja na kutoa hamasa kuhusu biashara hiyo. Akizungumza na Tama

MASHINDANO YA BODABODA KUFANYIKA MALINDI Read More »

CONGESTINA YUKO SAWA, ZARIKA AKIJIANDAA KWA MASHINDANO MWEZI JULAI

Gavana wa zamani wa kaunti ya Nairobi ambaye amekuwa mdhamini wa matibabu ya bondia mkongwe Conjestina Achieng amethibitisha kwamba bondia huyo amerejea hali yake ya sawa baada ya kipindi kirefu cha masaibu ya kiafya alipokuwa katika kaunti ya Siaya. Baada ya pigano la kirafiki dhidi ya bondia wenza Fatuma Zarika wikendi ilopita katika kaunti ya

CONGESTINA YUKO SAWA, ZARIKA AKIJIANDAA KWA MASHINDANO MWEZI JULAI Read More »