Paps Mkare

VUNJA REKODI TUKUPE MILIONI TANO – RUTO

Waziri wa michezo Ababu Namwamba ameeleza kufurahishwa kwake na jinsi serikali ya William Ruto inavyotuza wanamichezo wa Kenya baada ya kufanya vyema katika michezo ya kimataifa wakiwakilisha taifa hili. Ameyasema hayo baada ya rais William Ruto kuja na mpango uliomfanya Faith Kipyegon kutunukiwa nyumba ya milioni sita pamoja na kitita cha milioni pesa taslimu za […]

VUNJA REKODI TUKUPE MILIONI TANO – RUTO Read More »