Paps Mkare

PEP GUARDIOLA KUKOSA MECHI MBILI ZA EPL

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anatarajiwa kukosa mechi mbili zijazo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mgongo wake hii leo. Pep Guardiola ambaye amekuwa akikabiliwa na maumivu ya mgongo kwa muda ameachiliwa na klabu yake kufanyiwa upasuaji. Kulingana na taarifa ambayo imeachiliwa na Manchster City leo ni kuwa Guardiola atakosa mechi ya Sheffield United pamoja […]

PEP GUARDIOLA KUKOSA MECHI MBILI ZA EPL Read More »

MASHINDANO YA OMAR MSHAMU KUTOATHIRI LIGI ZA FKF MAGARINI

Shirikisho la soka katika eneo bunge la Magarini limethibitisha kuwa ujio wa mashindano ya Omar Mshamu Super Tournament hakutaathiri ligi za fkf katika eneo hilo. Kulingana na Julius Mweni ambaye ni mwenyekiti wa fkf tawi la eneo hilo amesema kwamba mechi zote za ligi ya fkf zitapewa kipaumbele tofauti na mashindano hayo. Mweni anasema kwamba

MASHINDANO YA OMAR MSHAMU KUTOATHIRI LIGI ZA FKF MAGARINI Read More »

BILA CAF A HUONGOZI KLABU 2024/2025 – NICK MWENDWA

Rais wa shirikisho la soka hapa nchini Nick Mwendwa, amethibitisha kwamba kuelekea msimu ujao wa mwaka 2024/2025 makocha wote ambao watakuwa wanaongoza vilabu vinavyoshiriki katika ligi kuu ya fkf watafaa kuwa na cheti cha ukocha leseni ya CAF A. Amezungumza hayo kipindi ambacho FKF imekuwa ikifanya uhamasisho pamoja na mafunzo ya makocha kote nchini ili

BILA CAF A HUONGOZI KLABU 2024/2025 – NICK MWENDWA Read More »