Paps Mkare

NALENGA KUJIUNGA NA MSABAHA FC BAADA YA KUACHANA NA MOMBASA ELITE – TEMO SAMUEL

Fowadi wa klabu ya Mombasa Elite Temo Samuel ambaye kwa sasa yupo nyumbani baada ya kuachana na klabu hiyo ya Mombasa anasema analenga kujiunga na klabu ya Msabaha FC ambayo kwa sasa ipo katika kiligi ya mkoa kipindi hiki ambacho klabu hiyo inasubiri kucheza mashindano ya kufuzu kuingia ligi ya daraja la pili kitaifa. Kulingana […]

NALENGA KUJIUNGA NA MSABAHA FC BAADA YA KUACHANA NA MOMBASA ELITE – TEMO SAMUEL Read More »

MICHEZO YA KITAMADUNI KUPEWA NAFASI PIA MAGARINI

Stephen Baya ambaye ni mwakilishi wadi wa Gongoni, eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi anasema kwamba analenga kuimarisha michezo yote katika wadi yake kama njia moja ya kuinua na kuimarisha vipaji. Amesema hayo asubui ya leo wakati akizungumza na Tama La spoti ambapo amehoji kuwa  michezo ya mipira imeangaziwa na kupewa kipaumbele sana tofauti

MICHEZO YA KITAMADUNI KUPEWA NAFASI PIA MAGARINI Read More »

WITO WA KUSAJILI WACHEZAJI CHAPA DIMBA WATOLEWA KWALE

Wito umetolewa kwa timu za soka katika kaunti ya kwale kushirikiana na shirikisho la soka katika tawi la gatuzi hilo  kusajili wa wachezaji kwa ajili ya mashindano ya chapa dimba ambayo yatakuwa yanachezwa katika ngazi ya kaunti. Kulingana na taarifa iliyowasilishwa kwa vilabu na mkurugenzi mkuu wa FKF Kwale bwana Shaban Mwero ni kuwa vilabu

WITO WA KUSAJILI WACHEZAJI CHAPA DIMBA WATOLEWA KWALE Read More »