FAITH KIPYEGON APEWA HESHIMA YA EGH NA RAIS WILLIAM RUTO
Mwanariadha Faith Kipyegon ambaye ameingia katika rekodi za dunia kuwa mwanariadha bora wa mwaka huu katika tuzo zilizofanyika jijini Monaco Ufaransa na kuwa mwanariadha wa kwanza wa kike kutoka hapa nchini kushinda tuzo hilo ameeleza kufurahishwa na matunda ya bidii alofanya mwaka huu katika mashindano mbalimbali. ”Kwa kweli nasikia furaha sana kwa umbali huu. Najivunia […]
FAITH KIPYEGON APEWA HESHIMA YA EGH NA RAIS WILLIAM RUTO Read More »



