MCHEZO WA TONG IL MOO- DOO IMEPIGA HATUA NCHINI – MWAKIO
Rais wa mchezo wa Tong IL Moo – Doo nchini Clarence Mwakio amesema kwamba mchezo huo umeanza kupiga hatua katika umaarufu wako katika taifa hili la Kenya. Ametoa wito kwa vijana wengi kujisajili kwa mchezo huo huku akithibitisha kuwa tayari Tong ill Moo – Doo imefika katika kaunti 14 kufikia sasa huku akiwa anapania kuimarisha […]
MCHEZO WA TONG IL MOO- DOO IMEPIGA HATUA NCHINI – MWAKIO Read More »



