WACHEZAJI WACHEZA NJAA TAITA TAVETA
Klabu ya Beach Bay inalilia udhamini wa kusimamia mechi zao kutokana na ukata wa kifedha unaowapa changamoto kubwa kwa sasa. Klabu hiyo inayoshiriki katika ligi ya daraja la pili ni kati ya vilabu vingi vinavyo kumbwa na changamoto hiyo kutoka mkoa huu wa pwani na Clara kadzo ambaye ni mweka hazina wa klabu hiyo anasema […]
WACHEZAJI WACHEZA NJAA TAITA TAVETA Read More »



