DROO YA UEFA 16 YATOKA
Droo ya raundi ya 16 bora ya ligi ya klabu bingwa ulaya imefanyika rasmi hii leo nchini Swtserland na FC Porto wamepangwa na Arsenal huku Napoli wakiwa wamepangwa na vijana wa Xavi Hernandez Barcelona. Paris SG wamepangwa na Real Sociodad, Atletico Madrid wakipangwa na Inter Milan. PSG watachuana na Borrusia Dortmund katika hatua hii ya […]
DROO YA UEFA 16 YATOKA Read More »



