Paps Mkare

ROONEY AFUTWA

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Birmingham City Wayne Rooney amefutwa kazi rasmi na klabu hiyo kutokana na msururu wa matokeo duni katika ligi ya daraja la Championship msimu huu. Rooney amesajili ushindi mara mbili pekee katika mechi 15 alizowaongoza Birmingham City na kuipeleka klabu hiyo kutoka nafasi ya 6 alipoajiriwa hadi sasa nafasi ya 20 […]

ROONEY AFUTWA Read More »

ESSIE AKIDA KUANDAA MASHINDANO YA SHUKRANI

Mchezaji wa timu ya taifa ya Harambe Starlets Essie Akida  anapania kuanzisha mashindano ya soka mwishoni mwa mwezi huu. Malkia huyo anayechezea klabu ya AC PAOK Thessaloniki yenye makazi yake ugiriki analenga kuandaa mashindano hayo aliyoyapa jina la Essie Akida Football Tournament mashindano ambayo yatafanyika katika uwanja wa Mkoroshoni mjini kilifi kaunti ya Kilifi. Kulingana

ESSIE AKIDA KUANDAA MASHINDANO YA SHUKRANI Read More »