Paps Mkare

BODABODA WAOMBA MASHINDANO ZAIDI KUFANYIKA MALINDI

Wafanya biashara wa boraboda mjini Malindi wameomba waandalizi wa mashindano ya soka kuyafanya mara kwa mara kwani jambo hilo limechania pakubwa kuleta utangamano katika jamii. Akizungumza na tama la spoti Hezron Mwaka ambaye ni kocha wa timu ya bodaboda ametoa wito huo baada ya mechi ya kirafiki ilochezwa wikendi ilopita dhidi ya kikosi cha maafisa […]

BODABODA WAOMBA MASHINDANO ZAIDI KUFANYIKA MALINDI Read More »

MICHEZO YAENDELEA VIZURI KENYA – ABABU NAMWAMBA

Waziri wa michezo hapa nchini Kenya Ababu Namwamba amesema kuwa  anaimani mwaka huu utakuwa na ufanisi mkubwa katika michezo sawa na ilivyokuwa mwaka jana ambapo mashindano pamoja na wachezaji waliwakilisha na kushinda matuzo mbalimbali. Amesema kwa kipindi cha mwaka jana pekee serikali iliwekeza milioni 900 katika michezo tofauti ya miaka ya nyuma ambapo michezo ilikuwa

MICHEZO YAENDELEA VIZURI KENYA – ABABU NAMWAMBA Read More »