HII NDIO SABABU SUPERSPORT HAITAONYESHA AFCON
Supersport ambao wanaongoza katika upeperushaji wa habari za michezo ya kimataifa hasa soka wametangaza rasmi leo kuwa hawatakuwa wakipeperusha moja kwa moja mashindano ya Afcon yanayoanza tarehe 13 mwezi huu wa Januari. Wamiliki Multichoice wametoa taarifa leo kuwa kukosa ruhusa ya kupeperusha matangazo hayo ndio chanzo kikubwa cha kutotangaza soka hilo kubwa la bara afrika. […]
HII NDIO SABABU SUPERSPORT HAITAONYESHA AFCON Read More »



