MO SALAH AANDIKISHA HISTORIA LIVERPOOL
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Misri Mohamed Salah anayechezea klabu ya Liverpool kule Uingereza ndiye mchezaji wa kwanza wa Liverpool kufikisha mabao 20 katika misimu saba mfululizo. Mo Salah alifikisha mabao ishirini yake msimu huu usiku wa kuamkia leo alipofunga dhidi ya Sparta Prague katika ushindi wa mabao 6-1 uliopeleka Liverpool hatua ya robo […]
MO SALAH AANDIKISHA HISTORIA LIVERPOOL Read More »



