Paps Mkare

MURANGA SEAL YASISTIZA HUSSEIN AWEPO KWENYE KIKAO CHA FKF

Klabu ya Muranga Seal inayoshiriki ligi kuu ya FKF hapa nchini imeshikilia kwamba Husein Mohamed ataiwakilisha klabu hiyo katika mkutano mkubwa wa mwaka wa FKF jumamosi ijayo. Husein Mohamed ambaye ni mkurugenzi mkuu wa Extreme Sports shirika lilolotangaza kupeana udhamini kwa ligi ya kitaifa ya Super League alikuwa amefungiwa na shirikihso la soka la fkf […]

MURANGA SEAL YASISTIZA HUSSEIN AWEPO KWENYE KIKAO CHA FKF Read More »

MICHAEL EDWARDS KUREJEA LIVERPOOL

Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa michezo katika klabu ya Liverpool kule Uingereza Michael Edwards amerejea rasmi sasa katika klabu hiyo baada ya kuondoka kwa muda. Vishawishi vya wamiliki wa klabu hiyo vimezaa matunda ya kumrudisha gwiji huyo aliyehusika pakubwa katika kuunda kikosi cha Liverpool katika kipindi cha Jergen Klopp. Alikuwa chanzo cha Liverpool kufanikiwa kuwasajili mastaa

MICHAEL EDWARDS KUREJEA LIVERPOOL Read More »