GOR MAHIA KUTOSAJILI WACHEZAJI WENGI
Meneja wa klabu ya Gor Mahia Victor Nyaoro amesema wataimarisha kikosi chao wakiwa na matumaini ya kufuzu Kwa ligi klabu bingwa Afrika msimu ujao lakini amesisitiza kwamba usajili huo utakuwa mdogo. Nyaoro anahisi wanahitaji kuwaamini wachezaji wao wa sasa haswa ikiwa watashinda taji la Ligi Kuu ya Kenya, na kuwazawadia nafasi ya kushiriki Ligi ya […]
GOR MAHIA KUTOSAJILI WACHEZAJI WENGI Read More »



