Paps Mkare

FAINALI ZA GOVERNORS CUP KUPIGWA MWEZI APRILI

Serikali ya kaunti ya Kilifi inapanga kuanzisha mashindano ya michezo mbali mbali mwaka ujao, katika mashindano ya Governors Cup yaliyoanzishwa mwaka jana chini ya gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro Mipango hii inapanga kujumuisha riadha na michezo ya ufukweni, baada ya fainali ya soka ya governors cup kukamilika tarehe 14 mwezi ujao Mashindano

FAINALI ZA GOVERNORS CUP KUPIGWA MWEZI APRILI Read More »