Paps Mkare

MIAKA NDIO CHANGAMOTO YA KUPATA WACHEZAJI MALINDI

Umri ndio kimekuwa kikwazo kikubwa cha upatikanaji wa talanta za kinadada kwenye mchezo wa basket ball katika mji wa Malindi kaunti ya kilifi inapojiandaa kwa mashindano ya KYISA mwaka huu. Kulingana na afisa wa michezo katika eneo hilo Melda Mnyazi ni kuwa sheria zilizowekwa za kutafutia wachezaji ndio zilizofungia baadhi ya wachezaji wa kike nje,

MIAKA NDIO CHANGAMOTO YA KUPATA WACHEZAJI MALINDI Read More »