KLABU YA VIHIGA BULLETS MASAIBU TELE LICHA YA KUDHAMINIWA NA KAUNTI
Mkufunzi mkuu wa klabu ya Vihiga Bullets George Owoko ametoa wito kwa wahisani kusaidia klabu hiyo ya ligi kuu nchini Kenya kipindi hiki ambacho klabu hiyo inapitia kipindi kigumu kifedha. Ukosefu wa udhamini bado unasalia kuwa saratani katika soka la Kenya na mkufunzi huyo ameomba shirikisho la soka pia kuwapiga shime ili kushiriki mechi zote […]
KLABU YA VIHIGA BULLETS MASAIBU TELE LICHA YA KUDHAMINIWA NA KAUNTI Read More »



