WAHALIFU WANAOWATATIZA WAHUDUMU WA BODABODA ENEO LA SHIMBA HILLS WAONYWA
Idara ya usalama eneo bunge la Shimba hills kaunti ya Kwale limewaonya wahalifu wanaotatiza usalama wa wahudumu wa bodaboda katika baadhi ya maeneo ya eneo bunge Hilo hususan nyakati za usiku. Akizungumza akiwa eneo la Kizibe naibu kamishna wa eneo bunge hilo Moses Karwigi amesema asasi za usalama zinashika doria pia kuchunguza na kuwasaka wahalifu […]
WAHALIFU WANAOWATATIZA WAHUDUMU WA BODABODA ENEO LA SHIMBA HILLS WAONYWA Read More »



