Janet Mumbi

AHMED KOMBO AHMED AELEZA KURIDHISHWA NA HATUA ZIMEPIGWA KUFANIKISHA MTAALA WA CBC

Naibu katibu wa muungano wa walimu KNUT tawi la Mombasa Ahmed Kombo Ahmed ameeleza kuridhishwa na hatua na mikakati iliyoko katika utekelezaji wa mtaala wa umilisi wa CBC hadi kufikia sasa tangu kuanzishwa nchini. Akizungumza na wanahabari Kombo amesema wazazi wanapaswa kuthamini mtaala huo na pia kujukumika katika kuwatimizia mahitaji mbalimbali ya watoto wao ili […]

AHMED KOMBO AHMED AELEZA KURIDHISHWA NA HATUA ZIMEPIGWA KUFANIKISHA MTAALA WA CBC Read More »

MASON GREEENWOOD APATA UHURU BAADA YA MASHTAKA DHIDI YAKE KUONDOLEWA

Ni rasmi sasa kinda wa timu ya taifa ya uingereza pamoja na klabu ya Manchester united mwite Mason Greenwood ameondolewa mashtaka yote yanayofungamana na ubakaji  yaliyowasilishwa kortini dhidi yake. Mason Greenwood mwenye umri wa miaka 21  alikamatwa mapema mwaka jana baada ya madai kuibuka kwamba amehusika kwenye shambulio la ubakaji hasa baada ya  picha na

MASON GREEENWOOD APATA UHURU BAADA YA MASHTAKA DHIDI YAKE KUONDOLEWA Read More »

MATHARE UNITED YAMFUTA KAZI BONIFACE OMONDI

Klabu ya Mathare United imethibitisha kumfuta kazi mkufunzi Boniface Omondi kufuatia muendelezo wa matokeo mabaya tangia kuanza kwa msimu huu. Chini ya uongozi wa Omondi Mathare United inasimama katika nafasi ya mwisho ligini na alama nne pekee wakiwa wamepoteza mechi nane, kupiga sare mara moja na kupata ushindi mara moja pekee. Kufuatia kufutwa kwa mkufunzi

MATHARE UNITED YAMFUTA KAZI BONIFACE OMONDI Read More »