Janet Mumbi

UFADHILI WA MASOMO KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA KUANZISHWA WIKI IJAYO

Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inapania kuzindua ufadhili wa masomo kwa wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza juma lijalo. Wizara ya elimu chini ya waziri Gloria Monikombo imesema kuwa ufadhili huo utasaidia sana jamii zisizojiweza kwani kuna wengi ambao wanahitaji ufadhili huo ila hawana uwezo wa kifedha Waziri huyo amesema kwa sasa wanashirikiana na […]

UFADHILI WA MASOMO KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA KUANZISHWA WIKI IJAYO Read More »

MPANGO WA SERIKALI KUU KUAFIKIA UPANZI WA MITI BILIONI 15 UKAKOSA KUAFIKIWA

Huenda mpango wa serikali kuu kuafikia upanzi wa miti bilioni 15 kufikia mwaka wa 2032 ukakosa kufaulu, kutokana na hatua ya baadhi ya miti hiyo kupandwa katika maeneo kame ambapo miti hiyo hushindwa kustahimili kiangazi kikali. Haya ni kwa mujibu wa mwanaharakati wa kimazingira katika shirika KILIFI CLIMATE CHANGE GOVERNANCE PLATTFORM, Kelly Robert Banda akiwa 

MPANGO WA SERIKALI KUU KUAFIKIA UPANZI WA MITI BILIONI 15 UKAKOSA KUAFIKIWA Read More »

MWAKILISHI WA WADI YA MWANAMWINGA EDWARD ZIRO ATOA WITO KWA WAZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WAO WANAJIUNGA NA SHULE ZA UPILI

Mwakilishi wa wadi ya Mwanamwinga kaunti ya Kilifi Edward Ziro ametoa wito kwa wazazi ambao watoto wao walimaliza darasa la nane wanajiunga na shule za upili ili kuendeleza masomo yao. Ziro amesema ni kupitia ushirikiano ndipo watoto wote wataendelea kusoma bila kukabiliwa na changamoto zozote. Aidha, Edward Ziro ameeleza kusikitishwa na namna vijana wengi katika

MWAKILISHI WA WADI YA MWANAMWINGA EDWARD ZIRO ATOA WITO KWA WAZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WAO WANAJIUNGA NA SHULE ZA UPILI Read More »