Janet Mumbi

RAILA ODINGA APENDEKEZA KILA KAUNTI KUWA NA TUME YA IEBC

Kinara wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga amependekeza kila kaunti  nchini kuwa na tume yake ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC ambayo itaendeleza shughuli zake kwa uhuru pasipo kuunganika na ile ya kitaifa. Akizungumza katika uwanja wa Kamukunji kaunti ya Naiobi hapo jana, Raila amesema kuwa hali hiyo itasaidia kuhakikisha kuwa kuna usawa […]

RAILA ODINGA APENDEKEZA KILA KAUNTI KUWA NA TUME YA IEBC Read More »

RAIS RUTO ARIDHISHWA NA UAMUZI WA WAKENYA KUAZIMIA KULIPA USHURU

Mjadala kuhusu ulipaji ushuru umeendelea kutawala majukwaa ya kisiasa baina ya serikali ya kenya kwanza na azimio la umoja one kenya huku rais William Ruto sasa akisema ameridhishwa na uamuzi wa Wakenya kuazimia kulipa ushuru. Akionekana kumjibu mamaNgina Kenyatta baada ya kauli yake kuhusu mdahalo huu mapema wikendi iliopita, Rais Ruto pia ameiagiza halmashauri ya

RAIS RUTO ARIDHISHWA NA UAMUZI WA WAKENYA KUAZIMIA KULIPA USHURU Read More »

WANAFUNZI WALIOMALIZA DARASA LA NANE KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA LEO

Wanafunzi wote waliofanya mtihani wa darasa la nane KCPE mwaka uliopita wa 2022 wanatarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza. Wanafunzi hao wapatao milioni moja watajiunga na shule za sekondari kuanzia hii leo huku idadi ndogo ya wanafunzi hao wakitajwa kufaulu kujiunga na shule ambazo walizichagua huku wengine wakikosa nafasi hizo kufuatia sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu

WANAFUNZI WALIOMALIZA DARASA LA NANE KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA LEO Read More »