WANAFUNZI WANAOTOKA KATIKA SHULE ZA MITAA YA MABANDA KAUNTI YA MOMBASA KUNUFAIKA NA UFADHILI WA MASOMO
Ni afueni kwa baadhi ya wanafunzi wanatoka katika shule za mitaa ya mabanda kaunti ya Mombasa baada ya seneta mteule kaunti hiyo Mirajj Abdillahi kuzindua hazina ya ufadhili wa masomo ya masomo ya sekondari kwa wanafunzi hao. Seneta hiyo amesema kuwa wanafunzi waliopata alama 350 na zaidi ndiyo walengwa wakuu wa mapango huo pamoja na […]



