Janet Mumbi

MIKAKATI INAENDELEZWA KAUNTI YA LAMU KUBORESHA USALAMA

Naibu Kamishna wa kaunti ya Lamu Charlse Kitheka amesema mikakati thabiti imeanzishwa na asasi za usalama katika kaunti hiyo ili kuongeza maafisa wa ziada, NPR katika sehemu mbalimbali za kaunti ya Lamu ili kusaidiana na wanajeshi wa KDF pamoja na vitengo vingine vya usalama kuimarisha usalama. Kulingana na Kitheka maafisa hao wa NPR watatumwa kwenye […]

MIKAKATI INAENDELEZWA KAUNTI YA LAMU KUBORESHA USALAMA Read More »

SAMSON ZIA ASEMA HAKUNA MTU ANAPASWA KULIPA FEDHA ILI KUPEWA BASARI WADI YA ADU.

Mwakilishi wa wadi ya Adu eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, Samson Zia amesema hakuna mwananchi anayepaswa kulipa ada yoyote ili kupata fedha za ufadhili wa masomo ya watoto wao kupitia basari za serikali za kaunti ama hata ile ya kitaifa. Zia amesema wameweka mikakati ya kuhakikisha hakuna ambaye, analaghaiwa na baadhi ya wale

SAMSON ZIA ASEMA HAKUNA MTU ANAPASWA KULIPA FEDHA ILI KUPEWA BASARI WADI YA ADU. Read More »

VIONGOZI WA MAGARINI WASHAURIWA KUUNGANA KUIMARISHA MICHEZO

Wito umetolewa kwa viongozi wa eneo bunge la magarini kaunti ya Kilifi kuungana ili kuimarisha michezo katika eneo bunge hilo. Ukosefu wa udhamini unasalia kuwa donda sugu katika soka la Magarini jambo ambalo linakosesha motisha baadhi ya wachezaji. Akizungumza na tama la spoti jana baada ya mechi ya daraja la pili kitaifa mkufunzi mkuu wa

VIONGOZI WA MAGARINI WASHAURIWA KUUNGANA KUIMARISHA MICHEZO Read More »