Paps Mkare

CHARLES OKERE KUENDELEA NA MAJUKUMU YAKE YA KITAIFA

Doris Petra ambaye ni naibu rais wa shirikisho la soka nchini kenya amethibitisha bayana kwamba Charles Okeree ataendelea kuwa mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya kina dada ya Harambe Starlets. Hii ni kufuatia kuibuka kwa sintofahamu baada ya kamati ya mpito iliyokuwa chini ya waziri amina Mohamed kumfuta Okere na kumtwika majukumu Alex Alumira […]

CHARLES OKERE KUENDELEA NA MAJUKUMU YAKE YA KITAIFA Read More »

VIONGOZI WA CHAMA CHA PAA NA WA KENYA KWANZA KAUNTI YA KILIFI WAMEAHIDI KUWEKA KANDO TOFAUTI ZAO ZA KISIASA

Baadhi ya Viongozi wa Muungano wa Kenya Kwanza na wale wa chama cha PAA kaunti ya Kilifi wameamua kuweka kando tofauti zao za kisiasa ili kuwafanyia kazi wenyeji. Kwenye kikao na waandishi wa Habari, Viongozi hao wakiogozwa na David Kadenge ambaye alikua mwakilishi wa wadi ya Malindi Mjini kaunti ya Kilifi amesema licha ya kuwa

VIONGOZI WA CHAMA CHA PAA NA WA KENYA KWANZA KAUNTI YA KILIFI WAMEAHIDI KUWEKA KANDO TOFAUTI ZAO ZA KISIASA Read More »