Janet Mumbi

KIWANDA CHA MAZIWA CHA KCC ENEO LA MIRITINI KUIMARISHWA

Serikali kupitia wizara ya vyama vya ushirika na biashara nchini inapanga kupanua kiwanda cha maziwa cha KCC eneo la Miritini kaunti ya Mombasa na kukifanya kuwa kiwanda bora cha maziwa. Haya ni kwa mjibu wa waziri katika wizara hiyo nchini Simon Chelugui akizungumza katika kikao na gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir na kusema […]

KIWANDA CHA MAZIWA CHA KCC ENEO LA MIRITINI KUIMARISHWA Read More »

NERO CHISHENGA ALALAMIKA KUHUSU MECHI YA MOMBASA

Mkufunzi Nero Chishenga wa klabu ya Furunzi FC anaeleza kutoridhika na matokeo ya vijana wake katika mechi ya ugenini wikendi hii dhidi ya klabu ya Shimanzi FC mjini Mombasa ambapo Furunzi walitandikwa kichapo cha mabao 5-1. Nero amedokezea Tama la Spoti kwamba kulishuhudiwa maonevu kutokana na  waamuzi wa mechi hiyo hali ambayo anahoji kuwa kinyume

NERO CHISHENGA ALALAMIKA KUHUSU MECHI YA MOMBASA Read More »