Janet Mumbi

ABBAS KUNYO ASEMA HAZINA YA KARO YA WADI YA SHILINGI MILIONI 150 HAITAFUTILIWA MBALI KAUNTI YA TANA RIVER

Waziri wa elimu, Jinsia na Michezo kaunti ya Tana River Abbas Kunyo amesema hazina ya karo ya wadi ya shilingi milioni 150 kwa mwaka haitafutiliwa mbali licha ya kuwepo kwa mchakato wa kuanzisha hazina nyingine ya GOVERNORS SCHOLARSHIP. Kunyo amesema lengo la hazina ya Gavana inapania kupiga jeki utoaji wa karo kwa wanafunzi ambao wanafanya […]

ABBAS KUNYO ASEMA HAZINA YA KARO YA WADI YA SHILINGI MILIONI 150 HAITAFUTILIWA MBALI KAUNTI YA TANA RIVER Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUWAFADHILI KIMASOMO WANAFUNZI WANAOTOKA MAENEO YA BASUBA

Naibu Kamishna wa kaunti ya Lamu Raphael Munyua amesema wanafunzi ambao wanatoka kwenye familia zisizojiweza na ambao wanapata zaidi ya alama ya 250 kwenye mtihani wao wa darasa la 8 KCPE watafadhiliwa masomo yao ya upili na serikali ya kaunti ya Lamu ili kuendeleza masomo yao. Kulingana na Munyua, wanafunzi kutoka maeneo ya Basuba ambao

SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUWAFADHILI KIMASOMO WANAFUNZI WANAOTOKA MAENEO YA BASUBA Read More »

WAFANYIKAZI WA SERIKALI KUPOKEA FEDHA ZAO ZA UZEENI KWA WAKATI

Bodi inayaoangazia marupurupu ya wafanyakazi wa serikali nchini ya PUBLIC SERVICE SUPERANNUATION SCHEME, iwamehakikishia wafanyakazi wa serikali kutocheleweshwa kwa pesa zao za uzeeni baada ya kustaafu. Akizungumza mjini Malindi kaunti ya Kilifi, katika kikao cha kuhamasisha wafanyakazi wa serikali kuhusiana na pesa za uzeeni, afisa wa bodi hiyo Douglas Asanya, amesema afisi ya msimamzi wa

WAFANYIKAZI WA SERIKALI KUPOKEA FEDHA ZAO ZA UZEENI KWA WAKATI Read More »