Janet Mumbi

WANAWAKE MJINI MALINDI WAHIMIZWA KUFIKA KWENYE VITUO VYA AFYA KUJIFUNGUA

Wanawake eneo bunge la Malindi na kaunti ya Kilifi kwa jumla, wametakiwa kuhakikisha wanajifungua katika vituo vya afya, kama njia mojawapo ya kujilinda dhidi ya athari ambazo huenda zikawakumba wakati wanapojifungua majumbani. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa afya ya umma katika eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, Thomas Kiboni ambaye amesema idadi kubwa […]

WANAWAKE MJINI MALINDI WAHIMIZWA KUFIKA KWENYE VITUO VYA AFYA KUJIFUNGUA Read More »

MANCHESTER UNITED KUUZA WACHEZAJI WATATU NA KUMNUNUA HARRY KANE

Klabu ya Manchester United inalenga kuwauza wachezaji watatu katika dirisha la uhamisho lijalo ili kuangalia uwezekano wa kumnunua Harry Kane mchezaji wa Totenham Hotspurs. Baadhi ya wachezaji ambao huenda wakauzwa klabuni hapo ni pamoja na beki Harry Maguire, Alex Telles lakini pia fowadi wa timu ya taifa ya Ufaransa Antony Martial mwenye umri wa miaka

MANCHESTER UNITED KUUZA WACHEZAJI WATATU NA KUMNUNUA HARRY KANE Read More »

FLAMENGO YAKOSA FAINALI, REAL MADRID IKITARAJIA KUJUA HATMA YAO LEO

Klabu kutoka Brazil  Flamengo usiku wa kuamkia leo imeshishiwa kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Al Hilal ya Misri katika mechi ya semi fainali ya mashindano ya Fifa Club World mashindano yanayoendelea nchini Morocco. Vijana wa mkufunzi Carlo Anceloti waite Real Madrid watakuwa wanashuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Al Ahly ya Misri katika

FLAMENGO YAKOSA FAINALI, REAL MADRID IKITARAJIA KUJUA HATMA YAO LEO Read More »