SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA YAFUNGA BAADHI YA MAJAA YA TAKA
Naibu Gavana wa kaunti ya Mombasa Francis Thoya amesema serikali ya kaunti hiyo imeanzisha harakati za kulifunga rasmi jaa la taka lilitoko kwenye eneo bunge la Kisauni kaunti ya Mombasa ili kuboresha mazingira. Thoya amesema serikali ya kaunti ya Mombasa imekuwa ikiyafunga majaa ya taka ambayo yamekuwa kwenye makazi ya wenyeji ili waishi katika mazingira […]
SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA YAFUNGA BAADHI YA MAJAA YA TAKA Read More »



