Paps Mkare

WACHEZAJI WAWILI WA MATHARE WAPIGWA MARUFUKU

Wachezaji wawili wa klabu ya Mathare United inayocheza ligi kuu nchini Kenya wamesimamishwa kutoshiriki mechi yoyote ya ligi  na shirikisho la soka la FKF kutokana na madai ya upangaji wa matokeo. Wachezaji hao ni Lennox Ogutu pamoja na Alphonce Ndonye na kulingana na waraka uliochapishwa mitandaoni na FKF, uchunguzi kuhusu madai ya kupanga kwa matokeo […]

WACHEZAJI WAWILI WA MATHARE WAPIGWA MARUFUKU Read More »

AFC LEOPARDS YAIRARUA TALANTA FC WAKATI POSTA RANGERS IKIKABWA SARE

Mabingwa mara 12 wa ligi kuu nchini Kenya  AFC Leopards wamesajili ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya klabu ya Talanta FC katika mechi iliyochezwa dimbani Nyayo mtanangwe uliochezwa mchana wa leo. ‘Hatrik’ ya fowadi Victor Omune raia wa DRC Congo  pamoja na mabao mawili ya  Cliff Nyakeya ndiyo yaliyotosha kuwapa ushindi vijana hao wa mkufunzi

AFC LEOPARDS YAIRARUA TALANTA FC WAKATI POSTA RANGERS IKIKABWA SARE Read More »