DARAJA LA KWANZA HAKUNA SOKA – RAY OMONDI
Mkufunzi mkuu wa klabu ya Kibra United Ray Omondi anasema kwamba ligi ya daraja la kwanza kitaifa inakosa mashiko na ushindani kutokana na kwamba wachezaji katika ligi hiyo kucheza wakiwa na tamaaya malipo baada ya mechi kuliko kuonyesha kukua kwa viwango vyao. Mkufunzi huyo anahoji kwamba ligi ya daraja la pili ndio ligi yenye ushindani […]
DARAJA LA KWANZA HAKUNA SOKA – RAY OMONDI Read More »



